Saturday, 5 October 2013

AUNT EZEKIEL AFUMWA AKIWA MSIKITINI HUKO MJINI DUBAI...!!

Posted by Gody Godwin Unstoppablé Posted on 12:28 with No comments
PICHA inayomuonesha mwigizaji Aunt Ezekiel akiwa nje ya msikiti wa tatu kwa ukubwa nchini Dubai, Al Farooq imenaswa.
Aunt Ezekiel akiwa nje ya msikiti.
Chanzo kilichopo Dubai kimeeleza kuwa, Aunt aliondoka nchini wiki mbili zilizopita kwenda nchini humo kumtembelea mume wake, Sunday Demonte ndipo alipoamua kwenda katika msikiti huo lakini alionekana mwenye mawazo sana.
“Nilimuona akiwa ni mtu ambaye alikuwa hana furaha kabisa na mara baada ya kutoka msikitini hapo, dada mmoja ambaye alikuwa naye alikuwa akimpiga picha mbalimbali nje ya msikiti huo,” kilisema chanzo.
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

Post a Comment